Ukiangalia bei za Petroli na Dizeli kwa kipindi cha mwaka mmoja. Yaani ukifananisha Agosti 2021 na Agosti 2022 utaona kuna percentage change ya takribani 50%.
Dizeli ndio imepanda kwa kiasi kikubwa kwa kuwa ni zaidi ya 50% huku petroli imeongezeka kwa zaidi 45% kutegemea na bandari yanapopakuliwa.
Bila ruzuku mafuta yangefika Tsh 4,000 kwa rejareja kwa yanayopokelewa bandari ya Mtwara
Angalia kielelezo cha mabadiliko ya bei.
View attachment 2312710