WeweππππππVipi kuhusu baba lishe?
Mbona walisema kuna meli ya hayo mafuta kutoka nje imeshatia nanga bandarini! Na hivyo hili tatizo kubakia kuwa historia!! Bado tu hayasambazwa kwa sisi walaji?
Huenda ni nanga brigadier πππMbona walisema kuna meli ya hayo mafuta kutoka nje imeshatia nanga bandarini! Na hivyo hili tatizo kubakia kuwa historia!! Bado tu hayajasambazwa kwa sisi walaji?
Tulianza na sukari, tukaja kwenye cement! Na sasa tuko kwenye mafuta ya kula! Tutafika tu.
Devils=Citizens=Voters. π€£π€£π€£πππππ’π’π’π€€π€€π€€π€€π€π€π€π€π€π€€π€€Serikali hii nia yake ni kuona WATANZANIA tukiishi kama mashetani.
MfuateNimemmis Lissu a.k.a mbeba maono na nondo zake. Alishaongea yoye haya sasa tuna-Suffer!