Familia nyingi hapa nchini inawategemea akina mama katika maisha yao ya kila siku.
Mara nyingi mamalishe wamekuwa wakipika chapati, vitumbua, maandazi n.k kwa ajili ya kupata fedha ya kulisha familia zao.
Ni ukweli usiopingika kuwa athari ya kupanda kwa mafuta ya kupikia imewatoa barabarani ni familia nyingi zimekuwa hoi.
Serikali inaona hili na tunasubiri wachukue hatua za haraka isije ikawa kama suala la sukari ambayo ilipanda toka tshs.1,500 mpaka 3,000 na Serikali imenyamaza mpaka leo.
Mkuu kila kitu kipo, tumevishwa kasumba mbaya kabisa ya kuagiza vitu toka nje, imagine alizeti zinastawi hapa, karanga, pamba (mbegu zake hutoa mafuta)Mafuta ya kupikia tunaagiza kwa wazungu wakati tunaArdhi ya kulima alizeti,, mitano tena
Na anafanikiwa san ktk hilo.Serikali hii nia yake ni kuona WATANZANIA tukiishi kama mashetani.
mataga orijinaliMnalalamika sana na serikali sio kazi yake kuwapatia mafuta ya kula, fursa hiyo na soko la bure kabisa, private sector acheni kulala, China technology and cheap machine's zimejaa na alizeti mahindi etc kila kona bongo, hakuna sababu ya mafuta kutopatikana... ombeni mikopo au mjikusanye mnunue machine's muanze kazi
Una maana gani brother?mataga orijinali