hii ingekua na maana zaidi kama mafuta yanayozalishwa nchini yanakidhi mahitaji lakini ikuhalisia kuna tofauti kubwa sana, tuna upungufu wa karibu tani laki tatuWala hamna tatizo. Yapande hata kufikia 100,000/= kwa lita. Hiyo ndo fursa kwa wakulima wa Alizeti, Ufuta, Pamba na Maweze ndani ya nchi. Lazima tuwalinde wakulima wetu na wazalishaji wa mafuta ya kula wanaotumia mbegu zinazozalishwa ndani ya nchi. Mafuta ya kutoka nje ya nchi lazima iwekewe kodi kubwa ili kulinda wakulima wetu wa ndani pamoja na wazalishaji wa mafuta ya kula ndani ya nchi.
Kuweka kodo katika mafuta yanayotoka nje ndo kutafanya uzalishaji wa mafuta ndani ya nchi kuongezeka maana wanaoagiza mafuta hayo nje ya nje ni wafanya biashara wa Kitanzania wenyewe. Ukifanya uagizaji toka nje kuwa wa gharama kutawafanya wawekeze katika uzalishaji wa mafuta hayo kwa kutumia mbegu zinazozalishwa mndani ya nchi na wenyewe watawekeza katika uzalishaji ndani ya nchi. Ndivyo wanavyofanya nchi zote zilizoendelea. Ukitaka kukuza uzalishaji ndani ya nchi unaweka kodi katika bidhaa ya aina hiyo toka nje ya nchi. Just simple ,ike that, You make import expensive. Hiyo itawasaidia wakulima wetu wa Alizeti kule Manyara, Singida, Dodoma, Shinyanga, Arusha na Rukwa kwa kupata bei nzuri ya alizeti yao na kuongeza uzalishaji maana soko la uhakika litakuwepo.hii ingekua na maana zaidi kama mafuta yanayozalishwa nchini yanakidhi mahitaji lakini ikuhalisia kuna tofauti kubwa sana, tuna upungufu wa karibu tani laki tatu
Mbona sukari imeshindwa matokeo bei imepanda,maFuta mtaweza?Kuweka kodo katika mafuta yanayotoka nje ndo kutafanya uzalishaji wa mafuta ndani ya nchi kuongezeka maana wanaoagiza mafuta hayo nje ya nje ni wafanya biashara wa Kitanzania wenyewe. Ukifanya uagizaji toka nje kuwa wa gharama kutawafanya wawekeze katika uzalishaji wa mafuta hayo kwa kutumia mbegu zinazozalishwa mndani ya nchi na wenyewe watawekeza katika uzalishaji ndani ya nchi. Ndivyo wanavyofanya nchi zote zilizoendelea. Ukitaka kukuza uzalishaji ndani ya nchi unaweka kodi katika bidhaa ya aina hiyo toka nje ya nchi. Just simple ,ike that, You make import expensive. Hiyo itawasaidia wakulima wetu wa Alizeti kule Manyara, Singida, Dodoma, Shinyanga, Arusha na Rukwa kwa kupata bei nzuri ya alizeti yao na kuongeza uzalishaji maana soko la uhakika litakuwepo.
Kwakuwa bado tuna vigereji vidogo dogo hapa nchini, afute kabisa kodi kwenye kuingiza magari ili kuchochea maendeleo kwenye usafiri....
Hatuzalishi magari nchini.....kodi kubwa ni kwaajili ya nini?
Hata sukari alituponza kutoka sh 1800 mpaka sasa 2800 na 3000Baada ya kauli iliyotolewa na rais JPM wakati akizindua kiwanda cha mafuta huko shinyanga kuwa ataongeza kodi kwenye bidhaa za mafuta zinazoingizwa nchini kutoka nje,bei ya mafuta yanaozalishwa hapa nchini imepanda ghafla. Bei ya mafuta lita 20 ilikuwa tsh. 58000/-imepanda hadi tsh. 62000/-.ctn ya mafuta lita tano ilikuwa 57000/-sasa ni 61000/-ctn ya lita moja ilikuwa 36000/-sasa ni 39000/-my take :rais angeongeza kodi kimya kimya badala ya kutamka hadharani kuwa ataongeza kodi kwenye mafuta yanayoingizwa kutoka nje ili kulinda viwanda vya ndani.
Kwakuwa bado tuna vigereji vidogo dogo hapa nchini, afute kabisa kodi kwenye kuingiza magari ili kuchochea maendeleo kwenye usafiri....
Hatuzalishi magari nchini.....kodi kubwa ni kwaajili ya nini?
NIPE RTE INAPOELEKEA MPWAAABaada ya kauli iliyotolewa na rais JPM wakati akizindua kiwanda cha mafuta huko shinyanga kuwa ataongeza kodi kwenye bidhaa za mafuta zinazoingizwa nchini kutoka nje,bei ya mafuta yanaozalishwa hapa nchini imepanda ghafla. Bei ya mafuta lita 20 ilikuwa tsh. 58000/-imepanda hadi tsh. 62000/-.ctn ya mafuta lita tano ilikuwa 57000/-sasa ni 61000/-ctn ya lita moja ilikuwa 36000/-sasa ni 39000/-my take :rais angeongeza kodi kimya kimya badala ya kutamka hadharani kuwa ataongeza kodi kwenye mafuta yanayoingizwa kutoka nje ili kulinda viwanda vya ndani.