Bei ya Mafuta yapaa!

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
530
:mad2::mad2:

Wadau, bei ya MAfuta (Petroli, Dizeli na Mafuta ya taa) zimepanda kinyama. Yaani Dizeli imefika hadi shs 1650/- kwa lita kutoka shs 1500/-, Petroli imefika shs 1,700/- kutoka shsn1,600/- kwa mwendo huu tutafika? Hapo tutegemee mfumuko mkubwa wa bei maana shilingi yetu nayo iko ICU. Ni bora tu-adopt kutumia dola kam Zimbabwe, pengine tutaweza kupata kaunafuu.
 
sipati picha harakati zitapoanza za wenye daladala kupandisha bei nasikia wanataka nauli za root ya kawaida ziwe 500 na zingine mpaka 1000 je kweli mfanyakazi aliyegombezwa na kikwete ataweza kuishi kweli na wafanyabiashara wa kubangaiza wataendelea kuwepo mijini kweli?
bila ya kuanza kusafisha mafuta ghafi wenyewe na kutumia gesi yetu basi taifa hili linaenda kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…