Bei ya mafuta yashuka kwa 54%

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2008
Posts
1,100
Reaction score
82
Oil falls below $67 a barrel on demand worries

Thursday, October 23, 2008

Oil prices plunged to their lowest in 16 months Wednesday as global economic worries led investors to predict a further drop in energy demand.

The continuing slide in prices is good news for drivers. The nationwide average gasoline price is now the lowest in nearly a year and is set to fall further.

The price of a barrel of light, sweet crude trading for delivery in December fell $5.43, or 7.5%, to $66.75, the lowest since June 2007. Oil prices are now down 54% from the record close of $145.29 on July 3.

MY TAKE: Hii ni kwa ajili ya nchi zilizoendelea pekee kwa kuwa nyumbani bei bado zile zile?, au ni uongozi wetu na siasa zisizoeleweka?.

Tuijadili..
 
nafuatilia sana kwenye soko la dunia lakini hapa nyumbani ya meshuka kwa sh.30/= tu!!! EWURA hawana maana, wameshindwa kusimamia hili. bei ikipanda kesho yake tu na huku nyumbani inapanda lakini ikishuka inakuwa kinyume.... why? where is consumer protection?
 

Ni kwa sababu kiwango cha ushuru unaotozwa unabaki pale, pale. Consumer protection in TZ? MMh!
 
Huku Arusha Bei ya chini kabisa ya Dizeli ilikuwa 1890 wakati bei soko la dunia ikiwa juu, wiki hii bei ya Dizeli imeshuka mara 3. Kutoka 1890 ikawa 1800, baadaye (Jana) 1780 na leo asbuhi wakati napita kile kituo ambacho jana kiliuza kwa shs 1780 leo wanauza 1750!

Nadhani EWURA lazima wafanye kitu cha ziada ingawa ni vibogoyo; Mkulu wa nchi miezi kama 3 hivi aliagiza EWURA ipewe meno sasa sijui hayo meno yatabandikwa lini maana wiki iliyopita kama sikosei EWURA walijifanya kufungia vituo kadhaa vya mafuta wakapigwa chini na Mahakama na hivyo vituo vya mafuta machafu vinaendelea kuuza kama kawa!
 
Ni rahisi tu; watashusha uzalishaji na bei zitarudi kulekule.
 


Jamaa vibogoyo Issue yenyewe hii hapa:-

Ewura Fails to Stop Firms Selling Contaminated Fuel

The powers of Tanzania's influential utility regulator, the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura) have been put to the test in a precedent-setting case in which a magistrate's court in Morogoro moved to stop the regulator from proceeding against a number of petrol stations found selling adulterated fuel.

The case is becoming a cause celebre as it represents one of those rare occurrences where a magistrate's court overrules a body with powers and jurisdiction comparable to the powers of the High Court of Tanzania. It has also jolted Ewura's high-profile campaign to curb the rising incidence of adulterated fuel in Tanzania................

"We have to respect the court injunction issued by the Morogoro Magistrate's Court because saying anything would be contempt of court," Ewura Director General Haruna Masebu told The EastAfrican.

BY:-
Joseph Mwamunyange
Nairobi
The East African (Nairobi)

Msaada mkubwa sana wa serikali unahitajika, inauma kuona bei imeshuka kwa mataifa makubwa for over 50% lakini nyumbani hali bado ile ile.
 
Hivi
Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC)
wanasimama wapi juu ya hili?..
 
Trust me ne bei za mafuta hayo hazitakaa zishuka hatasiku moja hapa TZ labda wao wanasiasa waonaomiliki stesheni za mafuta waamue kuviuza na kutokuvimiliki tena
 
Trust me ne bei za mafuta hayo hazitakaa zishuka hatasiku moja hapa TZ labda wao wanasiasa waonaomiliki stesheni za mafuta waamue kuviuza na kutokuvimiliki tena

Kwani sisi tunanunua wapi haya mafuta?. muuzaji(mwarabu) keshapunguza bei kwa nini sisi huku tunatumia bei aliyokuwa akituuzia zamana wakati yakiwa bei juu, how can we justify that one...au sirikali inafaidika na kodi nakusahau maumivu ya wananchi?..
 
....tatizo ni shilingi nayo imeanguka sana ndio maana huoni mafuta yakishuka bei,ungekuwa unalipa dollar kwenye pump ungeweza kuona yameshuka bei lakini kwa shiling mkuu yataendelea kupanda tuu!
 
Kama shilingi inaanguka kwa asilimia karibu sawa na kushuka kwa mafuta, hiyo tofauti inaji cancel yenyewe.

Lakini pia kama demand bado kubwa, hao wauza mafuta wanaamua kuacha bei ya mitaani hapo hapo na hivyo kupata faida kubwa.

Huku nje ushindani ni mkubwa na ndio maana inakuwa rahisi bei kushuka sambamba na kushuka kwa bei ya mafuta toka kwa wazalishaji.
 

Nipo hapa arusha tangu mwanzoni mwa wiki na mimi nimeishuhudia hali huyo. Nimewauliza baadhi ya wadau wakanieleza kuwa wamiliki wa petrol stations wanatumia fursa ya kushuka kwa bei kuchakachua, hivyo wenye magari arusha kuweni macho na wanaouza mafuta kwa bei ya chini
 
...kuna complexity the way oil business inavyo operate,ukiona mafuta kwenye world market yamepanda au yamepungua impact yake kwa consumer wa Arusha au Dodoma hawezi kuona same day/weak,why? price in world market mara zote ni for future delivery kwa hiyo price ya leo kwenye world market delivery yake may be next month hapo Dar es salaam...kwa hiyo inawezekana stock ya BP iliyopo Dar es salaam sasa ni ile ya mwezi uliopita wakati mafuta yalipokuwa bei juu ndio maana bei bado zipo juu!
 

Hata kama ni mwezi uliopita bado mafuta yalikuwa chini ya dola 80 kwa barrel wakati mwishoni mwa 2007 ilikuwa karibu dola 150 per barrel.
 
Oil falls nearly $5 as OPEC cut fails to halt slide
Buzz Up Send
Email IM Share
Digg Facebook Newsvine del.icio.us Reddit StumbleUpon Technorati Yahoo! Bookmarks Print By Jane Merriman Jane Merriman – 1 hr 21 mins ago Reuters – A Northern Virginia Chevron gas station employee lowers the price gasoline on a signboard early in the …
Slideshow: Oil Industry Related Quotes Symbol Price Change
^GSPC 864.52 -43.59
^IXIC 1,507.23 -96.68
^N225 7,649.08 -811.90
LONDON (Reuters) – Oil slid nearly $5 a barrel on Friday as gloom about a global economic downturn that is sapping fuel demand took the steam out of an OPEC agreement to cut output.

Ministers of the Organization of the Petroleum Exporting Countries agreed at an emergency meeting in Vienna to take 1.5 million barrels a day of crude, about 5 percent of its supply, off the world market.

U.S. light crude for December delivery traded down $4.80 at $63.04 a barrel. Earlier it touched $62.85, its lowest since May 2007.

It has fallen $42 a barrel in a month.

London Brent crude was down $4.42 at $61.50.

Saudia Arabia's Oil Minister Ali al-Naimi said the group had agreed the output reduction with effect from November1.

Traders said OPEC's action might not be enough to arrest a slide that has seen oil down more than 50 percent from a record $147 a barrel in July.

"Already we've seen demand destruction of 2 million barrels per day. I'm not convinced this cut will be enough to stop the slide." said Rob Laughlin, at broker MF Global.
 
shilingi imeshuka kwa 17% mafuta yameshuka kwa 54% na bei za mafuta tanzania zimeshuka kwa 6% wapi na wapi?

nyie hamfahamu interest za ewura, bosi wa ewura bwana haruna masebu ni mnyarwanda, yuko pale kwa interest zake, infact aliwekwa pale na bwana lowasa na fisadi wa kutupwa cv yake kwa kifupi

1990s akiwa uclas kama mkufunzi alikuwa ni katibu wa uvccm,

1992? alikuwa uclas kama director of studies wakati huo lowasa akiwa waziri wa ardhi mwenye dhamana ya chuo chaardhi

1993 lowasa akambeba akamfanya kuwa director general wa national housing

1996 akambeba tena kuwa kamishna wa PPSRC

2000s, ni mjasirialimali wa kutupwa kupitia kampuni yake ya proper consult limited wanapeana tender za kufanya valuation of fixes assets za wizara 12 za serikali kw amore than 2bn, baada ya muda kikwete amepunguza zile wizara anabaki kulipwa mabilioni kwa wizara zilizofutwa?

huyu bwana yupo pale ewura kama likizo, hata akipewa meno namna gani buree, anaishiwa kuwajibu walaji, end consumer eti kama bei za mafuta ziko juu tafuteni vitio vinavyouza rahisi
 
Hapa kijijini kwangu bei ya petroli imeshuka kutoka $3.95 wiki chache zilizopita na sasa ni $2.49. Hata nimeanza kupunguza kutembea kwa mguukwenda kununua soda na bia.
 
Leo OPEC wampunguza kutoa barrel millioni moja na nusu kwa siku, ili kuipandisha tena bei ya mafuta, lakini wamepiga chini ndio kwanza GM wamesema leo kwua wanapunguza kazi 25,000 meaning kwamba watu hawanunui magari tena, infact hata wale wanaotengenza magari mapya ya energy efficiency yanayotumia Charged Battery huko Utah, leo wamelia kwamba wananchi hawayanunui tena kama mwanzoni,

Maana yake ni moja tu, nayo ni kwamba wananchi wameshituka na kuanza kutembea kwa miguu kama sio baiskeli, sasa kwa wale kama mimi ambao maisha yetu hutegemea sana biashara zinazohusu mafuta tuko sawa tena baada ya a rough six months ya hasara, soon mafuta yatashuka kila mahali isipokuwa bongo tu ambako hatuna wala hatuheshimu sheria,

Lakini nchi zote zenye sheria na kuheshimu sheria za uchumi na biashara, yatashuka tu!
 

FMES wiki chache zilizopita bei ya pipa moja ilifika mpaka $147 na kuna wale "maspeculators" wa NYSE walikuwa wameshatabiri bei ingefika $200 sasa leo hii bei imeanguka tena na kufikia $64. Wengine wanatabiri si muda mrefu bei itafika $40. Na kama hali itaendelea kuwa mbaya zaidi basi bei ya $20 kwa pipa inaweza kupatikana hata kabla ya mwisho wa mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…