Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Wakuu habarini.
Tafadhali naomba msaada kwa anae jua bei zilizopo sasa hivi sokoni za mahindi ni shilingi ngapi anisaidie kujua haraka iwezekanavyo.
Ni kwa ajuae bei za Kigoma na DSM
Ahsanteni!