Wanajf,
Nawasalimu.
Mimi ni mkulima wa mahindi kigoma, kutokana na bei isiyo ridhisha ya mahindi huku kigoma kwetu nimeona nivema kama nitayasafirisha nakuyauza kwa bei ya jumla kama bei ya huko itakuwa nzuri.
Wanajf wa mwanza na wasio wa mwanza wanaojua bei ya kilo moja ya mahindi mwanza naomba msaada wenu kujulishwa hilo..
Muwe na siku njema.