Bei ya maji ya gari.

Bei ya maji ya gari.

Bhbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
714
Reaction score
210
wapendwa naomba kujuzwa yale maji yanayosambazwa na magari na kujazwa kwenye matank huwa ni bei gani? Na je tank la lita 2000 au 3000 ni bei gani? Natanguliza shukurani.
 
Inategemea na umbali wa unapolichukuwa hilo gari mpaka unapopeleka maji. Upitikaji (barabara) na muda (msongamano). Tueleze uko wapi tukupe ujanja.
 
Inategemea na umbali wa unapolichukuwa hilo gari mpaka unapopeleka maji. Upitikaji (barabara) na muda (msongamano). Tueleze uko wapi tukupe ujanja.

Niko segerea mkuu, nyuma ya tusime school.
 
Segerea karibu na gereza mimi wananiletea kwa shs. 10, 000 kwa lita elfu 1
Asante sana mkuu kwa taarifa muhimu. Na je unajua bei ya matank ya plastic?
 
Back
Top Bottom