Bhbm JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 714 Reaction score 210 Mar 19, 2012 #1 wapendwa naomba kujuzwa yale maji yanayosambazwa na magari na kujazwa kwenye matank huwa ni bei gani? Na je tank la lita 2000 au 3000 ni bei gani? Natanguliza shukurani.
wapendwa naomba kujuzwa yale maji yanayosambazwa na magari na kujazwa kwenye matank huwa ni bei gani? Na je tank la lita 2000 au 3000 ni bei gani? Natanguliza shukurani.
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,240 Reaction score 3,930 Mar 19, 2012 #2 Inategemea na umbali wa unapolichukuwa hilo gari mpaka unapopeleka maji. Upitikaji (barabara) na muda (msongamano). Tueleze uko wapi tukupe ujanja.
Inategemea na umbali wa unapolichukuwa hilo gari mpaka unapopeleka maji. Upitikaji (barabara) na muda (msongamano). Tueleze uko wapi tukupe ujanja.
Bhbm JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 714 Reaction score 210 Mar 19, 2012 Thread starter #3 Ribosome said: Inategemea na umbali wa unapolichukuwa hilo gari mpaka unapopeleka maji. Upitikaji (barabara) na muda (msongamano). Tueleze uko wapi tukupe ujanja. Click to expand... Niko segerea mkuu, nyuma ya tusime school.
Ribosome said: Inategemea na umbali wa unapolichukuwa hilo gari mpaka unapopeleka maji. Upitikaji (barabara) na muda (msongamano). Tueleze uko wapi tukupe ujanja. Click to expand... Niko segerea mkuu, nyuma ya tusime school.
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,357 Reaction score 3,550 Mar 20, 2012 #4 Bhbm said: Niko segerea mkuu, nyuma ya tusime school. Click to expand... Segerea karibu na gereza mimi wananiletea kwa shs. 10, 000 kwa lita elfu 1
Bhbm said: Niko segerea mkuu, nyuma ya tusime school. Click to expand... Segerea karibu na gereza mimi wananiletea kwa shs. 10, 000 kwa lita elfu 1
Bhbm JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 714 Reaction score 210 Mar 21, 2012 Thread starter #5 Tripo9 said: Segerea karibu na gereza mimi wananiletea kwa shs. 10, 000 kwa lita elfu 1 Click to expand... Asante sana mkuu kwa taarifa muhimu. Na je unajua bei ya matank ya plastic?
Tripo9 said: Segerea karibu na gereza mimi wananiletea kwa shs. 10, 000 kwa lita elfu 1 Click to expand... Asante sana mkuu kwa taarifa muhimu. Na je unajua bei ya matank ya plastic?
lukindo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2010 Posts 8,466 Reaction score 9,038 Mar 21, 2012 #6 Tripo9 said: Segerea karibu na gereza mimi wananiletea kwa shs. 10, 000 kwa lita elfu 1 Click to expand... asante mkuu, hizi taarifa nami zinaweza kuwa msaada mkubwa
Tripo9 said: Segerea karibu na gereza mimi wananiletea kwa shs. 10, 000 kwa lita elfu 1 Click to expand... asante mkuu, hizi taarifa nami zinaweza kuwa msaada mkubwa