Bei ya makadirio ya full body ya toyota premio old model

Bei ya makadirio ya full body ya toyota premio old model

Nima Imma

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
2,473
Reaction score
3,669
Helloow ...

Naomba mwenye kujua walau bei ya makadirio ya full body toyota premio old model husimamia bei gan na wapi zinakopatikana nzuri ...

Niko dar
 
Helloow ...

Naomba mwenye kujua walau bei ya makadirio ya full body toyota premio old model husimamia bei gan na wapi zinakopatikana nzuri ...

Niko dar
Sijakuelewa vizuri lakini kama unaulizia gari aina ya TOYOTA CORONA PREMIO mimi ninayo nauza Tsh. Milioni Tano ni hali nzuri na inatembea. Wasiliana nami simu 0754 468 318 . Hapa Dar.
 
Fanya hivi ingia kwenye site za wauza magari eg. Befoward, Tradecarview etc then baada ya kupata bei ya invoice ambayo kwa Matakwa yako itahusisha clearing.

Ukishajua bei ingia kwenye Calculator ya TRA inapatikana kwenye website ya www.tra.go.tz hapo utaingiza baadhi ya particulars na itakupa jumla ya ushuru utakaolipa, utajumlisha CIF price (CIF price + Total Tax) utapata jumla ya pesa itakayogharaimu gari ya hitaji lako.
Helloow ...

Naomba mwenye kujua walau bei ya makadirio ya full body toyota premio old model husimamia bei gan na wapi zinakopatikana nzuri ...

Niko dar
 
Back
Top Bottom