M MISELYA New Member Joined Mar 6, 2020 Posts 1 Reaction score 0 Mar 6, 2020 #1 Samahani wadau, naomba kujuzwa bei ya hiyo mashine ya juice ya miwa na biashara yake vipi? Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani wadau, naomba kujuzwa bei ya hiyo mashine ya juice ya miwa na biashara yake vipi? Sent using Jamii Forums mobile app
S Six Time JF-Expert Member Joined Oct 17, 2019 Posts 209 Reaction score 140 Mar 7, 2020 #2 Nunua Sent using Jamii Forums mobile app
T TEMBO WANGU JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 930 Reaction score 1,290 Mar 7, 2020 #3 nenda kariakoo gerezani, Bei yake 1.2-1.5 inategemea unavyoingia, hizo ni mashine ambazo zinatumia umeme a genereta. "HUU NI MWAKA WA RAHA"BY MWAMPOSA
nenda kariakoo gerezani, Bei yake 1.2-1.5 inategemea unavyoingia, hizo ni mashine ambazo zinatumia umeme a genereta. "HUU NI MWAKA WA RAHA"BY MWAMPOSA