Bei ya Mask = sukari 1kg/4,000 Tsh

Nina muda sana sina sukari kwangu,sitegemei hata kuwa nayo

sinunui sukari wala barakoa,4000 yangu ntaifanyia mambo mengine.
 
Write your reply...ETI NINUNUE MASKI HUU SI UJINGA MASKI YENYEWE INATAKIWA IVALIWE MASAA 3 JE NIBADILISHE KILA SIKU NINUNUE NYINGINE ? HAYO NI MATUMIZI MABAYA YA PESA



HIYO 4000 PALE KWA WAHAYA NI VIWILI KABISA NA UNATOKA MWEPESI UNAENDELEA NA KAZI YA KULIJENGA TAIFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…