bei ya mayai

zainul

New Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
3
Reaction score
0
habari wana jf.
naomba kuuliza kwa wale wanaojuwa kuhusu biashara ya mayai ya kuku kwa bei ya jumla.

naomba kujuwa bei za kununua kwa jumla na bei za kuuza kwa jumla.
asanteni
 
habari wana jf.
naomba kuuliza kwa wale wanaojuwa kuhusu biashara ya mayai ya kuku kwa bei ya jumla.

naomba kujuwa bei za kununua kwa jumla na bei za kuuza kwa jumla.
asanteni

Ya kuku wa kisasa au wa kienyeji!? na uko mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…