Mathayo Christopher
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 429
- 329
Hao walio lima walipiga hesabu kabla ya kuingia shambani? na pia wali forciwa kulima hizo Mbazi au walilima kwa kupend? Kwa hili sioni kosa la Serikali.Ifike wakati serikali iweke bei elekezi kwa mazao yote kama inavyofanya kwa zao la korosho. Kwa jinsi bei ya mbaazi ilivyo kwa mwaka 2025 hakiwezi kupunguza umasikini wa kipato kwa kuwa bidhaa ghafi bei zake zipo chini ukilinganisha na bidhaa za madukani. Haiingii akilinini mkulima auze kilo 4 za mbaazi ili apate sukari kg 1
Kabla ya kukomenti unachokiona sawa tafakari sana ni kaya ngapi zimeathiriwa ikiwa kaya nyingi hitegemea kilimoHao walio lima walipiga hesabu kabla ya kuingia shambani? na pia wali forciwa kulima hizo Mbazi au walilima kwa kupend? Kwa hili sioni kosa la Serikali.
kulima kwa kufuata mkumbo,
Ninyi ndio mnaowaita watanzania wavivu.Hao walio lima walipiga hesabu kabla ya kuingia shambani? na pia wali forciwa kulima hizo Mbazi au walilima kwa kupend? Kwa hili sioni kosa la Serikali.
kulima kwa kufuata mkumbo,
Jana nimeenda pale kasulu 400 -500 si utoto huo?Afadhali hao huku Kigoma tunauza kwa shilingi 400 per kg yaani hata gharama zako haziendiš
Sio poa aisee labda tusubiri hizi siasa zipite, ila kilimo jau sana tutafute mitaji tuwe walanguzi tu.Jana nimeenda pale kasulu 400 -500 si utoto huo?
Kwanini haina tija?Ifike wakati serikali iweke bei elekezi kwa mazao yote kama inavyofanya kwa zao la korosho. Kwa jinsi bei ya mbaazi ilivyo kwa mwaka 2025 hakiwezi kupunguza umasikini wa kipato kwa kuwa bidhaa ghafi bei zake zipo chini ukilinganisha na bidhaa za madukani. Haiingii akilinini mkulima auze kilo 4 za mbaazi ili apate sukari kg 1
Ni kweliSio poa aisee labda tusubiri hizi siasa zipite, ila kilimo jau sana tutafute mitaji tuwe walanguzi tu.