Bei ya mbaazi sokoni

Bei ya mbaazi sokoni

David King 51

New Member
Joined
May 21, 2024
Posts
3
Reaction score
3
Habari wakulungwa ninahitaji kujua bei ya mbaazi shambani na zikienda sokoni zinauzwaje??
 
Mkuu haya mazao yanayoitwa ya mkakati ni kichefuchefu sana. Huku nilipo tunalazimishwa kwenda kuuza ufuta kwenye maghala ya ushirika wakati hatuna ushirika nao.
Kulima nilime mimi
Kupalilia nipalilie mimi.
Mbegu ninunue mimi
Kwenye kuuza tushirikiane. Uliwahi kuona wapi?
 
Back
Top Bottom