Mkuu haya mazao yanayoitwa ya mkakati ni kichefuchefu sana. Huku nilipo tunalazimishwa kwenda kuuza ufuta kwenye maghala ya ushirika wakati hatuna ushirika nao.
Kulima nilime mimi
Kupalilia nipalilie mimi.
Mbegu ninunue mimi
Kwenye kuuza tushirikiane. Uliwahi kuona wapi?