Bei ya Milango, Mninga au Mkongo

Bei ya Milango, Mninga au Mkongo

vmjwahuzi

Senior Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
163
Reaction score
49
wana jamvi naomba taarifa kwa aliyeko mtwara au anaejua bei za milango mizuri jamii ya mninga, mkongo au jamii ingine kama hizo.pia kwa anayejua upatikanaji wa mawe pale mtwara yapo au yanatoka mkoa au wilaya ya mbali na bei zake.je cement mtwara ni bei gani kwa mfuko
 
We unaishi wapi, unataka top au flem?
 
Back
Top Bottom