Bei ya miti Tanzania

Gobomoja

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
24
Reaction score
3
Nasikia ukifanikiwa kupata mgao wa miti mita za ujazo mia nne tu Shamba la Miti Sao Hill, unaweza kuuza mgao huo mpaka Tsh 15,000,000 kwa wafanyabiashara waliokosa migao. Kama wanaweza kununua kwa kiasi hicho kikubwa cha pesa inamaanisha wanapata faida kubwa sana kwenye biashara hii,kwa nini serikali isipitie upya bei za mazao haya ya misitu ili iweze kupata mapato zaidi? au hiyo migao wanapeyana............kwa ajili ya kukuza mikukuta yao binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…