Stephen bryson Senior Member Joined Oct 1, 2016 Posts 151 Reaction score 126 Nov 26, 2024 #1 Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane. Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani.
Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane. Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani.
Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Nov 26, 2024 #2 Bei ya dunia ni kama dola mia kwa tani
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Nov 27, 2024 #3 Stephen bryson said: Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane. Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani. Click to expand... Niaje mkuu, ni pm tuongee biashara hiyo
Stephen bryson said: Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane. Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani. Click to expand... Niaje mkuu, ni pm tuongee biashara hiyo
webroyalz Senior Member Joined Jun 6, 2015 Posts 199 Reaction score 337 Nov 27, 2024 #4 Nenda Songea boss
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Nov 28, 2024 #5 webroyalz said: Nenda Songea boss Click to expand... Ninemcheki jamaa nadhani katoka online