Bei ya mshine ya kuchanganya rangi za nyumba

Bei ya mshine ya kuchanganya rangi za nyumba

Saad30

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
2,737
Reaction score
5,464
Amani iwe juu yenu wakuu..

Kwanza natoa shukrani kwenye hili jukwaa maana limenipa faida katika kufikiri mambo.

Tuje kwenye mada sasa...

Mimi naomba kupewa bei ya mshine za kuchanganya rangi za nyumba mana nimeuliza huko mitaani sipati jibu la uhakika ila naamini humu siwezi kukosa jibu.

Nimeuliza maana nataka nifanye hii biashara wakuu..Naombeni jibu.

Nawasilisha.
 
Ukiwa agent wa kampuni ya rangi wao watahusika kukupa mashine...sharti uuze rangi zao zaidi.
Vinhinevyo agiza bei inaanzia 11ml hadi 80ml
 
Picha tafadhali ya hiyo Machine ya kuchanganyia Rangi
 
Yes kama wanavyofanya Pepsi na coca-cola kwenye fridge
Mkuu nimeulizia bei ni Tsh 21M afu na vitu vya kuchangavyia ni Tsh 6M kwahiyo hapo ngoma inaenda milioni 30 kiufupi jamaa kaniambia milioni 50 inatosha kwa biadhara hii... Mama anaupiga mwingi ujue
 
Back
Top Bottom