Ukiwa agent wa kampuni ya rangi wao watahusika kukupa mashine...sharti uuze rangi zao zaidi.Amani iwe juu yenu wakuu..
Kwanza natoa shukrani kwenye hili jukwaa maana limenipa faida katika kufikiri mambo.
Tuje kwenye mada sasa...
Mimi naomba kupewa bei ya mshine za kuchanganya rangi za nyumba mana nimeuliza huko mitaani sipati jibu la uhakika ila naamini humu siwezi kukosa jibu.
Nimeuliza maana nataka nifanye hii biashara wakuu..Naombeni jibu.
Nawasilisha.
Yes kama wanavyofanya Pepsi na coca-cola kwenye fridgeKwahiyo mkuu wanakupa bure?
Mkuu nimeulizia bei ni Tsh 21M afu na vitu vya kuchangavyia ni Tsh 6M kwahiyo hapo ngoma inaenda milioni 30 kiufupi jamaa kaniambia milioni 50 inatosha kwa biadhara hii... Mama anaupiga mwingi ujueYes kama wanavyofanya Pepsi na coca-cola kwenye fridge