Gods very own
Senior Member
- Jul 1, 2017
- 124
- 66
niko mbali kinyama,na mtu nlietegemea kumtuma kabanwa na kaziKama hawapatikani si uende ukaongee nao
na naniHawa charge, kila kitu Bure mmeshalipiwa
Bwana Burena nani
Baada ya hiyo part kinatokea nini?kuna kiingilio???
bei ya msosi per head ipoje kwa anaejua
kufanya birthday party hua wanacharge kiasi gani?
niliwapigia namba zao hazipatikani.
msaada plz.
Alafu kuna watu wanasema maisha magumu hahahaaPale niliwahi kula ugali samaki tu, gharama ni 15,000/= ila sikujutia.
Yes ni ya Joe.hivi Escape one ni ya nani? nahisi kama vile ni ya Joseph Kusaga, kwasababu clouds fm huwa wanaitangaza mara kwa mara
Boss! Ndio hivyo, vyakula vina range 12-15 elf pande zaile, katika kupunguza stress za "hapa kazi tu" ndio tunajikuta tumedondokea pande hizoAlafu kuna watu wanasema maisha magumu hahahaa