pangakali 2
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 239
- 221
Wakubwa habari za majukum. Kumekuwa na mgogoro mkubwa kwa majirani zangu ambao wanagombania mti wa mnazi mkubwa ambao ulikua unauwezo wa kuzalisha nazi.
Jirani mmoja kati yao akaamua kuukata huo mnazi mwisho wa jirani wa pili amefika na kugundua kuwa mti wa mnazi umekatwa na kuzua taharuki ya ugomvi.
Hoja yangu ya msingi kwa anayefaham bei ya mti wa mnazi uliokomaa bei ya serikal inaweza kuwa kias gani? Ili tuingilie kati na kumlipa huyo jamaa ambaye ndio mmililiki halal kwa mujibu wa document alizonazo za manunuzi