Bei ya Nondo

Bei ya Nondo

Mais

Member
Joined
May 5, 2013
Posts
56
Reaction score
12
Habari wanajamii. Naomba kujuzwa bei ya nondo hapa Dar ni shilingi ngapi? Ninataka kutengeneza fremu za madirisha nyumba iko Bunju. Je, ni nondo za saizi gani zitanifaa na bei yake? Wapi nitapata kwa bei nafuu hapa Dar?
 
madirisha kwa maana ya zile grills? kuna mahali buguruni wanasema kwa mrusi. anauza quality na bei nzuri
 
Back
Top Bottom