M Mais Member Joined May 5, 2013 Posts 56 Reaction score 12 May 23, 2013 #1 Habari wanajamii. Naomba kujuzwa bei ya nondo hapa Dar ni shilingi ngapi? Ninataka kutengeneza fremu za madirisha nyumba iko Bunju. Je, ni nondo za saizi gani zitanifaa na bei yake? Wapi nitapata kwa bei nafuu hapa Dar?
Habari wanajamii. Naomba kujuzwa bei ya nondo hapa Dar ni shilingi ngapi? Ninataka kutengeneza fremu za madirisha nyumba iko Bunju. Je, ni nondo za saizi gani zitanifaa na bei yake? Wapi nitapata kwa bei nafuu hapa Dar?
H Helios JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 651 Reaction score 490 May 23, 2013 #2 madirisha kwa maana ya zile grills? kuna mahali buguruni wanasema kwa mrusi. anauza quality na bei nzuri
madirisha kwa maana ya zile grills? kuna mahali buguruni wanasema kwa mrusi. anauza quality na bei nzuri