Bei ya nyanya kwa tenga la debe tatu ni bei gani mtaani/shambani kwako?

Bei ya nyanya kwa tenga la debe tatu ni bei gani mtaani/shambani kwako?

MVM

New Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
3
Reaction score
0
2/6/2024 Bei ya nyanya kwa tenga la debe tatu ni bei gani mtaani/shambani kwako. Nilipo mimi Kilimanjaro Moshi mtaa wa chekereni ni 25000
 
Bei ya tenga la nyanya la ndoo tatu kubwa ni bei gani mtaani/shambani kwako
 
Back
Top Bottom