Bei ya petrol imepanda tena lini?

Bei ya petrol imepanda tena lini?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Habari ndugu.

Mara ya mwisho naingia filling station bei ya wese ilikua 2,405 karibu sheli zote. Leo nimeingia kujaza wese nakuta bei inasoma 2427 kuna ongezeko la Tshs 22. Nakumbuka jamaa pale sheli alinambia na bado bei itaendelea panda.

Tunakoelekea sahivi uchumi utadidimia na sio kukua. Sahv kila kitu kimepanda bei sio mafuta tu mpaka spare za magari, tyres nk.

Mungu ibariki TANZANIA [emoji1241]
 
Mtu una ka IST unalalama hpa kupanda kwa bei ya petrol ungekua na range Kama zetu si ungejaza server za JF kwa siku 1
 
Ndo maana ulaya naona wanakimbizana kupiga vita magari ya mafuta ni mwendo wa magari ya umeme ...sasa sijui watu wenye mafuta wanataka kutukomoa maana si mda hayatakua dili tena.
 
Nipeni Muda Nikuze Kwanza Uchumi
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
😥😣😏🙄😶😑😐
 
Ipande tu, hadi watu tutakapoyasusia hayo mafuta yaoo ndio watatia akili mbwa hao
 
Mama anaupiga mwingi. Anarudisha hela mtaani.

Mama anatupeleka kaanani tukale asali😂
 
Back
Top Bottom