Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Kila Jumatano huwa kuna bei mpya, bila shaka imepanda leo.
Mtu una ka IST unalalama hpa kupanda kwa bei ya petrol ungekua na range Kama zetu si ungejaza server za JF kwa siku 1
Mkuu naww unajitamba na ka IST fanya kazi acha kutamba na gari za promosheniIst sio gari? Fala kweli wewe
Mkuu naww unajitamba na ka IST fanya kazi acha kutamba na gari za promosheni
Ndo maana ulaya naona wanakimbizana kupiga vita magari ya mafuta ni mwendo wa magari ya umeme ...sasa sijui watu wenye mafuta wanataka kutukomoa maana si mda hayatakua dili tena.
Hapa Mafinga bei ni sh 2,500. Tuendelee kudemuka hakuna namna