Wakuu,kwa wale wa Dar,petrol imefika zaidi ya Sh 2,000 kwa lita.Nadhani mkoani huenda ikawa juu zaidi.Kwenye taarifa ya habari ITV petrol Kenya ni KSh 100 kwa lita,ukibadilisha kwa TSh17.9/KSh1 utagundua kua kenya mafuta yako chini zaidi.Mi najiuliza Tanzania kila kitu tuko nyuma?Hata kuwathibiti walanguzi tunashindwa?

Serekali iko buzy na kujivua magamba
Wakuu,kwa wale wa Dar,petrol imefika zaidi ya Sh 2,000 kwa lita.Nadhani mkoani huenda ikawa juu zaidi.Kwenye taarifa ya habari ITV petrol Kenya ni KSh 100 kwa lita,ukibadilisha kwa TSh17.9/KSh1 utagundua kua kenya mafuta yako chini zaidi.Mi najiuliza Tanzania kila kitu tuko nyuma?Hata kuwathibiti walanguzi tunashindwa?
kenya ishafika KSH 117!tokea juma lililopita! kwahiyo ngoma draw!Wakuu,kwa wale wa Dar,petrol imefika zaidi ya Sh 2,000 kwa lita.Nadhani mkoani huenda ikawa juu zaidi.Kwenye taarifa ya habari ITV petrol Kenya ni KSh 100 kwa lita,ukibadilisha kwa TSh17.9/KSh1 utagundua kua kenya mafuta yako chini zaidi.Mi najiuliza Tanzania kila kitu tuko nyuma?Hata kuwathibiti walanguzi tunashindwa?