Bei ya Petroli huko Urusi inazifanya nchi za Magharibi ziisagie meno lakini hazina jinsi

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477

Russia Gasoline prices, 06-Jun-2022​

Russia Gasoline prices
Litre
Gallon
RUB
51.790​
196.046​
USD
0.840​
3.180​
EUR
0.786​
2.975​

United Kingdom Gasoline prices, 06-Jun-2022​

United Kingdom Gasoline prices
Litre
Gallon
GBP
1.756​
6.647​
USD
2.199​
8.324​
EUR
2.056​
7.783​

Gallon 1 = 3.78 litres.

Kwa shilingi za kitanzania kwa wastani wa 1USD=2350, ina maana lita moja ya petroli urusi ni shilingi 1974 wakati lita moja ya petroli uingereza ni shilingi 5167.65.

Vikwazo vya kiuchumi waweke wao halafu hali ngumu ya kiuchumi iwakute wao!!

Hicho ndicho kinachowafanya nchi za magharibi ziichukie sana Urusi! Hasira inayochochewa na wivu!!
 
Kwa siku ya leo petrol imepanda zaidi nchi uingereza na kufikia dola 2.258 ambazo ni kama shilingi 5,306/=. Vita ya kiuchumi ya nchi waliyoanzisha nchi za magharibi dhidi ya Urusi wamejikuta wameshindwa wao!! Hawana jinsi zaidi ya kukubali matokeo!!
 
Bei ya nyumba self contain katikati ya jiji la moscow ni kias gan alafu na katikati ya jiji la London ni kias gan, ukinipa majib hapa utaelewa jambo fulan
 
Muktadha wa mjadala ni athari ya vikwazo vya kiuchumi vya nchi za magharibi dhidi ya Urusi katika Uchumi wa nchi za magharibi hususan bei ya mafuta. Hizo bei ya nyumba hazihusiki hapa maana hazijaathirika na vikwazo tunavyozungumzia!
 
Russia Gasoline prices, 06-Jun-2022​

Russia Gasoline prices
Litre
Gallon
RUB
51.790​
196.046​
USD
0.840​
3.180​
EUR
0.786​
2.975​

United Kingdom Gasoline prices, 06-Jun-2022​

United Kingdom Gasoline prices
Litre
Gallon
GBP
1.756​
6.647​
USD
2.199​
8.324​
EUR
2.056​
7.783​

Gallon 1 = 3.78 litres.

Kwa shilingi za kitanzania kwa wastani wa 1USD=2350, ina maana lita moja ya petroli urusi ni shilingi 1974 wakati lita moja ya petroli uingereza ni shilingi 5167.65.

Vikwazo vya kiuchumi waweke wao halafu hali ngumu ya kiuchumi iwakute wao!!

Hicho ndicho kinachowafanya nchi za magharibi ziichukie sana Urusi! Hasira inayochochewa na wivu!!
Wapuuz San inakuwaje wawawekee vikwazo huku una humia wee akili za wapi hzo jmn kweli mrusi kashika dunia tunaposema kashika dunia maan yake Ni kwamb hata USA anaingiaga vitani ila biashara Kama kawa leo mrusi tu kila kitu kimearibika
 
Muktadha wa mjadala ni athari ya vikwazo vya kiuchumi vya nchi za magharibi dhidi ya Urusi katika Uchumi wa nchi za magharibi hususan bei ya mafuta. Hizo bei ya nyumba hazihusiki hapa maana hazijaathirika na vikwazo tunavyozungumzia!
Oyaaaaa [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]naona jamaa kakurupuka, alaf mwanangu usiuwe mbu kwa kutumia nyundo[emoji16][emoji23]
 
Bei ya nyumba self contain katikati ya jiji la moscow ni kias gan alafu na katikati ya jiji la London ni kias gan, ukinipa majib hapa utaelewa jambo fulan
Hiyo bei ya nyumba imepanda sana kipindi hichi cha vita au ni bei ya kawaida kwa miaka yote?
 
Mabeberu nini kinawashinda kuivamua Urusi kama walivyoivamia Libya
 
Stail ya mabeberu ili wavamie eneo husika wanatakaga kumilik anga,

Sasa kwa mazingira ya urusi watalazimika kupambana na mifumo ya kinga ya anga aina tofaut zaid ya buku ambayo ili uimalize utalazimika kupata hasara ya ndege vita zaid ya buku na hapo sijagusia mapambano ya ndege kwa ndege kwa hiyo makadirio ya jumla ili kudhibit anga la urus watalazimika kutumia ndege zaid ya buku jero na mabom zaid ya elf kumi na ambazo zitagharimu matilion ya dola.

Lkn kwenye mtanange huo urus hatokaa wakat anashambuliwa na yey lazima atarusha makombora kwa nchi wafanya maamuz,namaanisha nchi km uk,German,France pamoja na usa watarushiwa bom zaid ya buku kum hii inamaanisha hao jamaa mifumo yao ya ulinz itakua bize balaa.

Sasa kwa mazingira hayo unadhan ni nan atakubal kutumia migharama yote hiyo kwa ishu ambayo itakugharim matilion ya dola na hujui mwisho itakuja na matokeo gani.

Kumbuka Russia sio libya

Ref;Muuza viatu karume mchikichin.
 
Russia Gasoline prices, 06-Jun-2022​

Russia Gasoline prices
Litre
Gallon
RUB
51.790​
196.046​
USD
0.840​
3.180​
EUR
0.786​
2.975​

United Kingdom Gasoline prices, 06-Jun-2022​

United Kingdom Gasoline prices
Litre
Gallon
GBP
1.756​
6.647​
USD
2.199​
8.324​
EUR
2.056​
7.783​

Gallon 1 = 3.78 litres.

Kwa shilingi za kitanzania kwa wastani wa 1USD=2350, ina maana lita moja ya petroli urusi ni shilingi 1974 wakati lita moja ya petroli uingereza ni shilingi 5167.65.

Vikwazo vya kiuchumi waweke wao halafu hali ngumu ya kiuchumi iwakute wao!!

Hicho ndicho kinachowafanya nchi za magharibi ziichukie sana Urusi! Hasira inayochochewa na wivu!!
Acha vita iendelee. Tutajua tu
 
Back
Top Bottom