mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
| Russia Gasoline prices | Litre | Gallon |
|---|---|---|
| RUB | 51.790 | 196.046 |
| USD | 0.840 | 3.180 |
| EUR | 0.786 | 2.975 |
| United Kingdom Gasoline prices | Litre | Gallon |
|---|---|---|
| GBP | 1.756 | 6.647 |
| USD | 2.199 | 8.324 |
| EUR | 2.056 | 7.783 |
Kwa siku ya leo petrol imepanda zaidi nchi uingereza na kufikia dola 2.258 ambazo ni kama shilingi 5,306/=. Vita ya kiuchumi ya nchi waliyoanzisha nchi za magharibi dhidi ya Urusi wamejikuta wameshindwa wao!! Hawana jinsi zaidi ya kukubali matokeo!!
Muktadha wa mjadala ni athari ya vikwazo vya kiuchumi vya nchi za magharibi dhidi ya Urusi katika Uchumi wa nchi za magharibi hususan bei ya mafuta. Hizo bei ya nyumba hazihusiki hapa maana hazijaathirika na vikwazo tunavyozungumzia!Bei ya nyumba self contain katikati ya jiji la moscow ni kias gan alafu na katikati ya jiji la London ni kias gan, ukinipa majib hapa utaelewa jambo fulan
Wapuuz San inakuwaje wawawekee vikwazo huku una humia wee akili za wapi hzo jmn kweli mrusi kashika dunia tunaposema kashika dunia maan yake Ni kwamb hata USA anaingiaga vitani ila biashara Kama kawa leo mrusi tu kila kitu kimearibikaRussia Gasoline prices, 06-Jun-2022
Russia Gasoline prices Litre GallonRUB 51.790 196.046USD 0.840 3.180EUR 0.786 2.975
United Kingdom Gasoline prices, 06-Jun-2022
United Kingdom Gasoline prices Litre GallonGBP 1.756 6.647USD 2.199 8.324EUR 2.056 7.783
Gallon 1 = 3.78 litres.
Kwa shilingi za kitanzania kwa wastani wa 1USD=2350, ina maana lita moja ya petroli urusi ni shilingi 1974 wakati lita moja ya petroli uingereza ni shilingi 5167.65.
Vikwazo vya kiuchumi waweke wao halafu hali ngumu ya kiuchumi iwakute wao!!
Hicho ndicho kinachowafanya nchi za magharibi ziichukie sana Urusi! Hasira inayochochewa na wivu!!
Mwisho atakuuliza bei za tikiti maji kwenye miji hiyoMuktadha wa mjadala ni athari ya vikwazo vya kiuchumi vya nchi za magharibi dhidi ya Urusi katika Uchumi wa nchi za magharibi hususan bei ya mafuta. Hizo bei ya nyumba hazihusiki hapa maana hazijaathirika na vikwazo tunavyozungumzia!
Oyaaaaa [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]naona jamaa kakurupuka, alaf mwanangu usiuwe mbu kwa kutumia nyundo[emoji16][emoji23]Muktadha wa mjadala ni athari ya vikwazo vya kiuchumi vya nchi za magharibi dhidi ya Urusi katika Uchumi wa nchi za magharibi hususan bei ya mafuta. Hizo bei ya nyumba hazihusiki hapa maana hazijaathirika na vikwazo tunavyozungumzia!
Hiyo bei ya nyumba imepanda sana kipindi hichi cha vita au ni bei ya kawaida kwa miaka yote?Bei ya nyumba self contain katikati ya jiji la moscow ni kias gan alafu na katikati ya jiji la London ni kias gan, ukinipa majib hapa utaelewa jambo fulan
Stail ya mabeberu ili wavamie eneo husika wanatakaga kumilik anga,Mabeberu nini kinawashinda kuivamua Urusi kama walivyoivamia Libya
Acha vita iendelee. Tutajua tuRussia Gasoline prices, 06-Jun-2022
Russia Gasoline prices Litre GallonRUB 51.790 196.046USD 0.840 3.180EUR 0.786 2.975
United Kingdom Gasoline prices, 06-Jun-2022
United Kingdom Gasoline prices Litre GallonGBP 1.756 6.647USD 2.199 8.324EUR 2.056 7.783
Gallon 1 = 3.78 litres.
Kwa shilingi za kitanzania kwa wastani wa 1USD=2350, ina maana lita moja ya petroli urusi ni shilingi 1974 wakati lita moja ya petroli uingereza ni shilingi 5167.65.
Vikwazo vya kiuchumi waweke wao halafu hali ngumu ya kiuchumi iwakute wao!!
Hicho ndicho kinachowafanya nchi za magharibi ziichukie sana Urusi! Hasira inayochochewa na wivu!!
[emoji38][emoji38]Mwisho atakuuliza bei za tikiti maji kwenye miji hiyo