Bei ya petroli na diseli imefikia USD 130 kwa pipa

Kwa mujibu wa Aljazera English channel taarifa ya usiku huu bei ya pipa la crude oil limefika Dola 200, lakini hiyo imesababishwa na mshtuko wa solo la mafuta,baada ya mafuta ya Russia kuwekewa vikwazo,bei itashuka baada ya miezi michache ijayo.
 
Kwani mafuta tunatoa Russia au kwa ndugu zetu uarabuni. Uhuni wa makamba utajulikana tuu.
Bei ya mafuta ghafi ni moja duniani kote, hata sisi kama tungekuwa tunachimba tungeuza kwa bei ya dunia, nchi moja haiwezi kuamua bei ya solo ya pekee, hivyo jiandae tu.
 
Bei ya mafuta ghafi ni moja duniani kote, hata sisi kama tungekuwa tunachimba tungeuza kwa bei ya dunia, nchi moja haiwezi kuamua bei ya solo ya pekee, hivyo jiandae tu.
Sawa makamba wewe weka litre moja iuzwe 5000/ maana Tanzania inajua sana hasar za. Vita kuuliko Ukraine yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…