T Trust None JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 1,260 Reaction score 4,419 Oct 18, 2020 #1 Habarini, naomba mwenye kufahamu bei ya Pikipiki za SanLG ikiwa mpya anifahamishe. Nahitaji bei kwa Kahama au Mwanza ili iwe rahisi kwangu kufika huko kutokea kijijini kwetu
Habarini, naomba mwenye kufahamu bei ya Pikipiki za SanLG ikiwa mpya anifahamishe. Nahitaji bei kwa Kahama au Mwanza ili iwe rahisi kwangu kufika huko kutokea kijijini kwetu
T Trust None JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 1,260 Reaction score 4,419 Oct 19, 2020 Thread starter #2 Pia kwa walio Ushirombo, Katoro ama Geita naomba mwenye kufahamu bei anijulishe