Lazima kula sembe? Nunua dona mix muhogo, au uwele, mtama au ulezi.
Ukiona VP nunua tambi. Laaa nunua ngano choma chapati.
Nunua mihogo fungu chemsha .
Au vipi nunua viazi mviringo (ulaya) chemsha au kaanga(chips).
Viazi vitamu vya 2000 vingi hadi chai.