Bei ya simu tanzania

Bei ya simu tanzania

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,367
wapendwa naombeni kufahamishwa bei ya sim zifuatazo kwa tanzania
Samsang galaxy s4 au s3
iphone 3 and 4

mkiniambia na capacity itanisaidia sana
 
Wakuu kuna simu gani ina quality kali sana ya kamera kwa usiku?

Nimefikiria sana juu ya Nokia lumia 1325, kama kuna zaidi naomba kufahamishwa.

cc Chief-Mkwawa @mwl.rct
 
Back
Top Bottom