Sasa ndio mnashtuka, na bado maana wakati mnapokea Tshirts na Kofia za njano na kijani jino werereeeeeeeeee
Mmesahau kwamba waha jamaa sasa wanaplay part II ambayo maumivu matupu maana mpaka wamalize madeni ya uchaguzi
Hadi kufikia 2015 watu watakuwa mbavu tupu na maumivu makali.
sasa ndio watu wajenge akili siyo kuka kushabikia oyee oyee wakati hujui kitafuata nini.
Ufisadi kwa kwenda mbele.