Fanya fasta....[emoji125][emoji125] naenda kuwaita mkuu wanakuja
Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
mpya ama used kutoka japan???Habari,
Naomba kujua bei ya kuagiza starlet mpya kutoka japan mpk kufanya usajili,
Pia kwa mwenye ufahamu anisaidie kunijuza tofauti ya statlet na starlet glanza, ipi bora zaidi,
Na zipi changamoto zake.
Nawasilisha.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
NshawaletaFanya fasta....
Baba fetty bora uchukue ka-march mkuu!Habari,
Naomba kujua bei ya kuagiza starlet mpya kutoka japan mpk kufanya usajili,
Pia kwa mwenye ufahamu anisaidie kunijuza tofauti ya statlet na starlet glanza, ipi bora zaidi,
Na zipi changamoto zake.
Nawasilisha.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Naamini unamaanisha mpya kwa maana kuwa ambayo haijatumika hapa nchini.Habari,
Naomba kujua bei ya kuagiza starlet mpya kutoka japan mpk kufanya usajili,
Pia kwa mwenye ufahamu anisaidie kunijuza tofauti ya statlet na starlet glanza, ipi bora zaidi,
Na zipi changamoto zake.
Nawasilisha.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Upo wapi na uko nazo Starlet?njoo pm kwa namba ya simu sasa hiviNaamini unamaanisha mpya kwa maana kuwa ambayo haijatumika hapa nchini.
Bei ya starlet, hua nauza 7.7m kila kitu hadi barabarani (kasoro bima ya barabarani tu ndio unatakiwa kulipia)
Tofauti ya "glanza" na starlet ya kawaida ni mfumo wake wa engine pamoja na chasis yake
Glanza ni sport car (ikiwa kana unapenda sport car ambayo ni ndogo na nyepesi, go for glanza)
Naamini nimekufafanulia japo kidogo
VP KUHUSU VITZ OLD MODEL WAUZAJE?......NIPO KARIBU KUPATA KAMKOPO SO NATAKA KUCHUKUA KA VITZ. NA UKO PANDE ZIPI HAPA DAR?Naamini unamaanisha mpya kwa maana kuwa ambayo haijatumika hapa nchini.
Bei ya starlet, hua nauza 7.7m kila kitu hadi barabarani (kasoro bima ya barabarani tu ndio unatakiwa kulipia)
Tofauti ya "glanza" na starlet ya kawaida ni mfumo wake wa engine pamoja na chasis yake
Glanza ni sport car (ikiwa kana unapenda sport car ambayo ni ndogo na nyepesi, go for glanza)
Naamini nimekufafanulia japo kidogo
Vitz old model ni 7.9m hadi barabarani kila kitu kasoro bima.VP KUHUSU VITZ OLD MODEL WAUZAJE?......NIPO KARIBU KUPATA KAMKOPO SO NATAKA KUCHUKUA KA VITZ. NA UKO PANDE ZIPI HAPA DAR?
NASHUKA KITUO GANI PALE?Vitz old model ni 7.9m hadi barabarani kila kitu kasoro bima.
Office ni kinondoni, Ada estate, karibu!
Starlet ni ngumu balaa..na matumizi yako chini