Bei ya Sukari ipo juu

Bei ya Sukari ipo juu

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
3,590
Reaction score
3,632
Vipi wadau mbona Bei ya Sukari imepanda ghafla, tena kwa ongezeko la asilimia arobaini na tano (45%)

Naona ugumu wa Maisha kuelekea/kuanza kwa mwaka 2024.
 
Pole Mkuu, Khofu ni Vitafunwa kama Maandazi na Vitumbua navyo kupanda bei..
 
Nimeacha sukari mwaka wa 3 huu.Nakunywa chai bila sukari na kahawa bila sukari.Mwili umesha adapt na hali ya afya imekuwa nzuri zaidi nilipokwenda kufanya vipimo.Sina kisukari.
 
Nakumbuka 2016 tulinunua sukari sh. 6,000/- kwa kilo.
 
Huko ubaoni inasoma ngapi ? Huku ni 3,200 maduka ya mzunguko mkubwa 3,400 maduka ya nyumba kumi kwa KG moja.
 
Back
Top Bottom