Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Kwenye chai unaweka nini?Nilishaachanaga na matumizi ya sukari kitambo sana, hata ladha ya chai yenyewe ilishasahaulika mdomoni mwangu.
tangawizi na mchaichai na ukipenda zaid weka karafuu
Hayo yote bila sukari?tangawizi na mchaichai na ukipenda zaid weka karafuu
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Asali ina tatizo?tangawizi na mchaichai na ukipenda zaid weka karafuu
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kuacha matumizi ya sukari hupunguza kitambi?Nilishaachanaga na matumizi ya sukari kitambo sana, hata ladha ya chai yenyewe ilishasahaulika mdomoni mwangu.