Bei ya sukari na mafuta huko kwenu ikoje?

Bei ya sukari na mafuta huko kwenu ikoje?

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Naona mambo yanazidi kupamba moto, sukari beii juu mafuta kula bei juu Petrol na diesel bei juu tutafika tumechoka sana.
 
huku bei imepowaaa

endapo upo na umri wa 40+ punguza matumizi ya sukari na mafuta kwenye vyakulaa
 
Back
Top Bottom