Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Safi,acha si tuwauzie hii unayoiita midosho lakini mkivaa kwenye harusi au sherehe yoyote mnakuwa sawa mana na Suti inaangalia na umbo la mhusika sasa kama upo utafikiri pembetatu kupendeza ni ngumuYeap naagiza au nikienda nanunua. its cheap,suit nzuri GBP 100-150, unavizia SALE.
Kuliko kununua ule uchafu kwa gharama zile ni heri ununue suit kali za ulaya tu ijulikane mojaNaomba kufahamu viwango vya bei ya suti kwa huyu jamaa Sheria Ngowi, ni bei gani?
Sio kweli. Wanaojua suti wakiona quality wanajua.Safi,acha si tuwauzie hii unayoiita midosho lakini mkivaa kwenye harusi au sherehe yoyote mnakuwa sawa mana na Suti inaangalia na umbo la mhusika sasa kama upo utafikiri pembetatu kupendeza ni ngumu
Afadhali umenisaidia kumuelewesha huyu.Kuliko kununua ule uchafu kwa gharama zile ni heri ununue suit kali za ulaya tu ijulikane moja
Suit hazi balance kabisa!!
Suit alizokua akivaa JK toka kwa huyo sheria Ngowi nyingi hazikufit vizuri muundo wa mwili unakuta zinalepweta baadhi ya maeneo na mabegani kuja chini makwapani ni kituko tupu...Afadhali umenisaidia kumuelewesha huyu.
Quality ipi unayoizungumzia wewe? Hata hizo ya UK zingine zina Quantity na si QualitySio kweli. Wanaojua suti wakiona quality wanajua.
Umewahi jiuliza italian suits...turkey... UK na kwingine duniani kwa watengenezaji wa kueleweka kwanini suit zao hawakupimi we unachagua size tu na suti inatulia mwilini? Umeshawahi ona mtu suit ya dukani toka europe imemkaa vibaya? Sasa hao akina Sheria Ngowi japo wanakupima bado inakua hovyo kabisa na hizo za kununua kabisa bila kupima ndo kabisaaa!!Safi,acha si tuwauzie hii unayoiita midosho lakini mkivaa kwenye harusi au sherehe yoyote mnakuwa sawa mana na Suti inaangalia na umbo la mhusika sasa kama upo utafikiri pembetatu kupendeza ni ngumu
Daah suti za next ni shidaaa... ninavaa mpaka viatu vyao... kuanzia shirts... suits mpaka viatu...Nope. Navaa za Burton na Next.
Wewe ushawahi kuvaa/kuona suti ya Next/BURTON/MOSS Bro ? Kama umewahi utajua nazungumzia nini. Usiku mwema.Quality ipi unayoizungumzia wewe? Hata hizo ya UK zingine zina Quantity na si Quality
Huwa navizia ile SALE yao wanayofungua duka saa moja asubuhi. Ukija saa mbili duka jeupe.Daah suti za next ni shidaaa... ninavaa mpaka viatu vyao... kuanzia shirts... suits mpaka viatu...
Nina kiatu chao mwaka wa 7 huu hakijalika soli hataaaaa ngozi ndo usiseme kama kipya tuuu!!!
Hizo za Ngowi anajua mwenyewe ila mi nazunguzia upande wangu nawauzia za kutoka Italy,France na Turkey na mtu akipima kama alizaliwa nayo hata ukipigwa picha inang'aa yenyewe bila kuongezewa uzuriUmewahi jiuliza italian suits...turkey... UK na kwingine duniani kwa watengenezaji wa kueleweka kwanini suit zao hawakupimi we unachagua size tu na suti inatulia mwilini? Umeshawahi ona mtu suit ya dukani toka europe imemkaa vibaya? Sasa hao akina Sheria Ngowi japo wanakupima bado inakua hovyo kabisa na hizo za kununua kabisa bila kupima ndo kabisaaa!!
Kwa ufupi kwa hela hiyo heri uvae suit za maana toka ulaya!!
AcHizo Suti Zina Nini??
Unawaambia tu kiuno 34, inakuja suruali na koti utafikiri walikupima!Umewahi jiuliza italian suits...turkey... UK na kwingine duniani kwa watengenezaji wa kueleweka kwanini suit zao hawakupimi we unachagua size tu na suti inatulia mwilini? Umeshawahi ona mtu suit ya dukani toka europe imemkaa vibaya? Sasa hao akina Sheria Ngowi japo wanakupima bado inakua hovyo kabisa na hizo za kununua kabisa bila kupima ndo kabisaaa!!
Kwa ufupi kwa hela hiyo heri uvae suit za maana toka ulaya!!
SawaWewe ushawahi kuvaa/kuona suti ya Next/BURTON/MOSS Bro ? Kama umewahi utajua nazungumzia nini. Usiku mwema.
Bei ndio inanipa wasiwasi....70,000?! Koti na suruali Italian suit.Hizo za Ngowi anajua mwenyewe ila mi nazunguzia upande wangu nawauzia za kutoka Italy,France na Turkey na mtu akipima kama alizaliwa nayo hata ukipigwa picha inang'aa yenyewe bila kuongezewa uzuri
Mkuu wengi hao ni wale wa kibaba so life kwao bado ipo kwenye kuhemea kula hivyo vitu vya burton na next ni msamiati kwao!!!Wewe ushawahi kuvaa/kuona suti ya Next/BURTON/MOSS Bro ? Kama umewahi utajua nazungumzia nini. Usiku mwema.
Hao ata ukiwauliza embe ya mkuranga anayokula kikwete au samaki sato anayemla maghufuli watakwambia huviwezi!Aiseee,watu mnafeli kwa swali dogo tu,jamaa ameuliza bei gani???nami nasubiri jibu nijue bei ya hizo suti,ila nachosoma hapa kwa watu wa kaliba yako ni kujibu swali usiloulizwa
Hizo suti ni za china huko mnadanganywa za italy... suti ya italy uuze kwa elf 70? You cant be serious!!!Hizo za Ngowi anajua mwenyewe ila mi nazunguzia upande wangu nawauzia za kutoka Italy,France na Turkey na mtu akipima kama alizaliwa nayo hata ukipigwa picha inang'aa yenyewe bila kuongezewa uzuri
Ha ha ha haaa, si ajabu hadi leo hakuna aloweka bei wameendelea kusema huwez bei.Hao ata ukiwauliza embe ya mkuranga anayokula kikwete au samaki sato anayemla maghufuli watakwambia huviwezi!
Sana aisee.... yaani wewe ni size tuuu kwisha kazi...Unawaambia tu kiuno 34, inakuja suruali na koti utafikiri walikupima!