Bei ya tambi za kupima na bei ya tambi za pakti

Bei ya tambi za kupima na bei ya tambi za pakti

thefarmer

Member
Joined
Jun 13, 2023
Posts
19
Reaction score
41
Habarini WanaJamii nilikuwa naomba kupata kujua bei ya tambi za kupima hapa Dar es salaam.

Na je zile za pakti za dukan nazo ni bei gani.

Asanten sana in advance
 
Bei huwa zinatofautiana kidogo mno!. 100-200/-.
Mwenye ujuzi wa kutengeneza tambi za kupima atusaidie hapa!
 
Back
Top Bottom