Bei ya tiketi moja ya pambano la Floyd na McGregor ni sawa na kujenga maghorofa 80 TZ

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Homa la pambano la Floyd Mayweather na Conor MCGregor inazidi kupamba moto na kwa sasa bei za tickets zimeshatangazwa tayali ambapo wale wapenzi wa Boxing nikiwemo mimi mwenyewe tumeshaanza kuzigombania kama njungu .


Mashabiki wengi wa Boxing hasa wale wapenzi wa floyd tumekuwa na kiu kubwa sana ya kumuona Floyd akirudi tena ulingoni kuendeleza mtanange kama kawaida ingawaje 40% ya wapenzi wa boxing wamemtabiria Floyd kupoteza pambano hilo.

Mbali na mashabiki wa boxing ,Floyd yeye mwenyewe amekiri kwa kinywa chake kwamba kuna probability kubwa sana ya kupoteza pambano hilo kwa sababu yeye umri umeshamtupa mkono na mtu anayekwenda kupambana naye bado damu inachemka sana ,hivyo basi lolote lile linaweza kutokea

 
Lakini mbona huyo jamaa kila ni kiingia you tube nakuta anapiga kick boxing tu
 
Lakini mbona huyo jamaa kila ni kiingia you tube nakuta anapiga kick boxing tu
Alikuwa anapigana aina hiyo ila kwa sasa amebadili aina ya upiganaji ,kwa sasa anacheza Boxing ,kama sikosei ni Orthodox huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…