Bei ya tiketi moja ya pambano la Floyd na McGregor ni sawa na kujenga maghorofa 80 TZ

Alikuwa anapigana aina hiyo ila kwa sasa amebadili aina ya upiganaji ,kwa sasa anacheza Boxing ,kama sikosei ni Orthodox huyo.
Ok ok lakini naona kama atapotza pambano vile maana kubadilisha aina ya upiganaji kwa mara ya kwanza alafu anakutana na bondia nguli kama myweather,mimi binafsi nampa asilimia ndogo sana ya ushindi
 
Ok ok lakini naona kama atapotza pambano vile maana kubadilisha aina ya upiganaji kwa mara ya kwanza alafu anakutana na bondia nguli kama myweather,mimi binafsi nampa asilimia ndogo sana ya ushindi
Baada ya kubadili amecheza pambano mengi na ameshinda kwa kishindo.
 
Unajua gharama za ujenzi au unaandika title ya thread while u empty headed..!!??
 
= tayari
 
Mimi ngumi za floyd uwa sizielewi ngumi nilizokuwa nazielewa ni enzi za akina mike tyson, evander bwana ngumi mpaka mtu anang'ata sikio na ma knock out mtu chini
 
Mimi ngumi za floyd uwa sizielewi ngumi nilizokuwa nazielewa ni enzi za akina mike tyson, evander bwana ngumi mpaka mtu anang'ata sikio na ma knock out mtu chini
Kwani Floyd hajawahi kumpiga mtu kwa K.O?
 
Mc Gregory O Connor a.k. a Notorious, hii gemu kwenye boxing ndo yakwanza dhidi ya Floyd Mayweather. Hajawahi kupigwa kwenye mchezo wa mateke na ngumi (Kickboxing ), kaamua kuufukuzia mpunga mrefu kwenye boxing, ujue pambano hilo wanavuta mpunga mrefu mno, ndo maana jamaa kaji-sacrify ingawa hatashinda kutokana na mchezo wa Mayweather wenye ukeraji.
 
Sawa ni boxing match, ila its overhyped, over promoted, overmarketed and overrated, sisi tutasubiri sports news au kupata ka link ka huu mchezo, dunia ya leo nawahurumia watoto wetu maana nothing is real anymore..
 
mtoa mada acha up...mbav..! kasome vze figures, rudi shule upya shwain
Walioandika ndio wamekosea maana wamesema tiketi ya chini bei yake ni milioni 4, 505,094, yaani 4,505,095 million au kwa tarakimu kamili 4,505,095,000,000 au kwa maneno sawa na trilion 4.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…