Bei ya tiketi moja ya pambano la Floyd na McGregor ni sawa na kujenga maghorofa 80 TZ

Walioandika ndio wamekosea maana wamesema tiketi ya chini bei yake ni milioni 4, 505,094, yaani 4,505,095 million au kwa tarakimu kamili 4,505,095,000,000 au kwa maneno sawa na trilion 4.5
Umeukalia nini hapo ulipo. Mbona unaandika ujinga
 
Walioandika ndio wamekosea maana wamesema tiketi ya chini bei yake ni milioni 4, 505,094, yaani 4,505,095 million au kwa tarakimu kamili 4,505,095,000,000 au kwa maneno sawa na trilion 4.5
Hela za Makinikia zikija nitamwomba Magu atenge trilioni 9 ili mimi na mtoa mada tukaliwakilishe taifa
 
Walioandika ndio wamekosea maana wamesema tiketi ya chini bei yake ni milioni 4, 505,094, yaani 4,505,095 million au kwa tarakimu kamili 4,505,095,000,000 au kwa maneno sawa na trilion 4.5
Sawa kabisa mkuu ,hao wengine naona wanaleta mihemko tu.
 
Hela za Makinikia zikija nitamwomba Magu atenge trilioni 9 ili mimi na mtoa mada tukaliwakilishe taifa
Hakika huo ni uzalendo wa kutukuka na kupigiwa chapuo. Unastahili pongezi na uungwaji mkono.
 
Walioandika ndio wamekosea maana wamesema tiketi ya chini bei yake ni milioni 4, 505,094, yaani 4,505,095 million au kwa tarakimu kamili 4,505,095,000,000 au kwa maneno sawa na trilion 4.5
Umebwiya au umevuta....mwalimu wako wa hesabu yupo hai kweli?
 
Af nilimskia floyd anasema yeye na team yake ndo wanaandaa pambano,yan hamna mtu wa kati,yan yeye na wadhamin wake,yan yeye ni promota inshort..umechek akili hyo ya floyd,..halaf naskia akishinda akishindwa yeye anachkua kama $100mil..hiv akat mzungu akishinda au akishindwa anachkua kama $20mil..halaf naskia mcgregor ilibid atafte mpunga mref ili apigane na floyd,manake aliambiwa ili upigane na floyd lazma uweze kushawish makampun ipatkane kama $70mil hiv,..so floyd inshort ni kama show yake yaana ameandaa yeye
 
Huyu mcgregor anataka kufa,asfikir kickboxing ndo boxing,..amuulize kaseba,alivyopigwa na cheka,..boxing ni real fights na ni ngumi kweli,yaana mcheza boxing ame concentrate nguv zoote kwenye mikono sasa mtu wa kickboxing ujanja wa kukwepa ngum za uson anao,..unajua kickboxers wanataftaga sifa tu
 
Floyd Mjanja Sana .. kapoteza pesa nyingi sana kwa kipindi chada mfupi kwa ulimbukeni wa maisha .
Kachezea Kamari pesa na kuinvest kwnye vitu ambavyo havina return...sasa anatafuta namna ya kujipatia Relief financially ...
 
UFC kwa watu wa MMA kina Mc Gregor Maximum ni raundi 5...huku kwa bwana Floyd raundi ni 12...mshindi anajulikana tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…