Bei ya tiketi moja ya pambano la Floyd na McGregor ni sawa na kujenga maghorofa 80 TZ

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wapuuzi ndo wata gudhuria hilo pamnano LA ma clowns
 
Umebwiya au umevuta....mwalimu wako wa hesabu yupo hai kweli?
Sihitaji kujua kama yuko hai au la. Ila kwa mara ya mwisho nilipocheck, milioni 4, 505, 049 ilikuwa sawa na trilioni 4.5. Ila sikushangai maana uwezo wetu watanzania kielimu ni mdogo sana kwa wastani na ninyi ndio mnachangia.
 
Yaani nikatoe mil4 nikaangalie mtu anakimbia kimbia tu ulingoni badala y kupgana, mamaee
 
Conor ashapigwa mara tatu,check your records
 
jukwaa la mzunguko ni milioni nne.... patamu hapo
 
Huyu mzungu anaonekana ni kauzu zaidi ya dagaa, naamini Floyd anakalishwa Kwenye huu mtanange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…