Bei ya toyo (bajaji ya miguu mitatu) ya kubebea mizigo

toghocho

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
1,172
Reaction score
198
Habari wakuu, natafuta bajaji ya kubebea mizigo maarufu kama toyo, hivi dukani bei ni shilingi ngapi kwa sasa.
note: maduka ya kuaminika maana kuna jamaa huwa wanaziagiza kwa exemption then wanaziuza, matokeo yake kubadili jina inakuwa mziki.
Asanteni wakuu.
 
Iringa mijin brand new million tatu na nusu. Bei ya toyo dar itakuwa chini kdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…