Bei ya TOYOTA RAUM mpya!!

Usiangaike njoo nikupe hii hapa kwa bei ya kutupa. Vibali viko sawa hadi 2017, ni namba C, usiulize AC maana utaganda, spare tyre mpya, pamoja na carrier yake juu

Pm kwa maelezo zaidi, bei ya Gari in mil 6 iko Mwanza.

.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…