Bei ya TVS Bajaj Uganda

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu mabibi na mabwana wa hapa jukwaa la Uganda, Napenda kujua gharama ya kununua TVS Bajaj kwa Uganda ni kiasi gani ?
 
Bei zinatofautiana kulingana na maeneo. Huku Jinja bei iko juu zaidi ya Kampala na Entebbe bei yake huwa haitabiriki.

Karibu.
 
Bei zinatofautiana kulingana na maeneo. Huku Jinja bei iko juu zaidi ya Kampala na Entebbe bei yake huwa haitabiriki.

Karibu.
Ndio nataka kujua bei tofauti tofauti za kila sehemu
 
kampala bajaji bei inaanza kwa 3.9M hadi 5M
Tv inategemea na aina pia na saizi kwa led bei inaanzia 500,000/=
 
Hakuna utofauti wa bei, utofauti ni pesa za nchi na nchi
 
Habari zenu mabibi na mabwana wa hapa jukwaa la Uganda,Napenda kujua gharama ya kununua tvs bajaj kwa uganda ni kiasi gani ?
🤣 🤣 🤣 🤣 mdau nadhani ulimaanisha pikipiki ya magurudumu matatu hapo kwenye kichwa cha habari. Bajaj na TVS ni kampuni 2 tofauti. Ila umeeleweka mdau. Walioko Uganda watakujibu
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] mdau nadhani ulimaanisha pikipiki ya magurudumu matatu hapo kwenye kichwa cha habari. Bajaj na TVS ni kampuni 2 tofauti. Ila umeeleweka mdau. Walioko Uganda watakujibu
Wewe ndo hujaelewa, Kuna bajaji Aina ya TVS, siyo television (TV), ni TVS BAJAJ.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…